ABOUT US.

Jesus Making Center (J.M.C) ni kanisa linalopatikana katika jiji la Mbeya eneo la mwanjelwa.Likiongozwa na pastor Joseph Mnyawami limekuwa likitoa huduma za mafundisho maombezi na Huduma nyingine za kijamii kwa muda wa miaka mitano sasa.